musicas.mus.br

Letras de músicas - letra de música - letra da música - letras e cifras - letras traduzidas - letra traduzida - lyrics - paroles - lyric - canciones - MTASUBIRI - DIAMOND PLANTNUMZ - música e letra

Utilize o abecedário abaixo para abrir as páginas de letras dos artistas

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Mtasubiri letra


eeh! nini sasa
eti amina, dua zimeitikiwa
ashtuti nije kupa mali yako
ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
mahututi nasubiri tiba yako

na nisipo kuona na raha nakosa
situlii mpaka unikumbate darling
ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
shughuri kwisha yangu habari
eti unanipenda mi

unanitaka pia
unaniamini
na umeniridhia
ooh unanipenda mimi
unanitaka pia
unaniamini
na umeniridhia
mnaosubiri tuachane

mtasubiri sana mtasubi
(ooh mtangoja)
mtasubiri sana mtasubi
(wanaosubiri tuachane)
mtasubiri sana mtasubi
(vuteni kiti mkae)
mtasubiri sana mtasubi

ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
ooh baby penzi laini sitoi buja

na moyo nimeshaweka kwako nanga
wanajisumbua kukesha kwa waganga
mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
tena deka we shaukwa baby tamba

eti unanipenda mi
unanitaka pia
unaniamini
nakuniridhia
ooh unanipenda mimi

unanitaka pia
unaniamini
na umeniridhia
manaosubiri tuachane
mtasubiri sana mtasubi
(ooh mtakesha)

mtasubiri sana mtasubi
(mtandike jamvi mukae)
mtasubiri sana mtasubi
(mtatungoja sana)
mtasubiri sana mtasubi
wanasema eti umeniroga

nikweli ila inawahusu nini
hunipendi unanichuna
nikweli ila inawahusu nini
eti anasema wewe ni kicheche
nikweli ila inawahusu nini
utanichezea kesho uniache
nikweli ila inawahusu nini

Diamond Plantnumz - Letras

top 30 músicas

©2003 - 2024 - musicas.mus.br