musicas.mus.br

Letras de músicas - letra de música - letra da música - letras e cifras - letras traduzidas - letra traduzida - lyrics - paroles - lyric - canciones - GERE (FEAT. TANASHA DONNA) - DIAMOND PLANTNUMZ - música e letra

Utilize o abecedário abaixo para abrir as páginas de letras dos artistas

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Gere (feat. Tanasha Donna) letra


Zigila parapampapa
Donna na Chibude
Oh, yeah
It's Platnumz

Eeh ati unapenda kooni
Nikikupa mpaka morning
Nikipekenya pekenya
Nisiwahi ichelewe
Nikikuchumu mdomoni
Touch touch kiunoni
Niwe natekenya tekenya
Nakufanya ulewe

Boy you are my sweet chocolate monster
Sorry I contaplate on that
And baby better ride for me
And show me that you are mine
I'ma go downtime for yah
Call you king put a crown on yah
And baby take your time with me
Let's flow like river Nile
Hapa, asa show me ile kitu amekupa mama
Hebu chutama, kama inazama
Nikupige chenga kwa danadana
Tuwafunge kelele
Jioni usiku mchana, jua likizama
Tuanza kandana
Nikuonyeshe kile amenipa mama
Si wafunge kelele

Maana wanaona
Wanaona gere, wanaona gere
Wanaona gere
Wanaona ge ge ge ge
Wanaona gere, wanaona gere
Wanaona gere
Wanaona ge ge ge ge

Don't you ever leave me solo
Or disappoint me with these basic hoes
You make my mind go lokoloko
Utawapa misemo wa nokonoko
And you better tell them that you are mine
Better be my ride or die
Kabla ya kuwika jogoo
Asubuhi niamshe na kimoko
Eeeh! Mama kasema mwali mwana
Nimepata nitulie Simba

Oh nitulie Simba
Oh nitulie Simba
Zile chenga vidanga dana
Vicheche nichunie Simba
Oh nichunie Simba
Oh nichunie

Asa beiby ebu show me
Ile kitu amekupa mama
Hebu chutama kama inazama
Nikupige chenga kwa danadana
Tuwafunge kelele

Jioni usiku mchana, jua likizama
Tuanza kandana
Nikuonyeshe kile amenipa mama
Si wafunge kelele

Maana wanaona
Wanaona gere, wanaona gere
Wanaona gere
Wanaona ge ge ge ge
Wanaona gere, wanaona gere
Wanaona gere
Wanaona ge ge ge ge

Asa beiby nikomeshe
Kati, katika (kata)
Kati, kati, katika (kata)
Donna katika (kata)

Oh beiby katika (kata)
When you hold on to me (kata)
Go down follow my knees (kata)
Moving side to side beiby (kata)
Oh kati (kata)

Diamond Plantnumz - Letras

top 30 músicas

©2003 - 2024 - musicas.mus.br